Google imetoa toleo 48.0.2564.116 kwa Windows, Mac na Linux. Toleo hili jipya linakabili uwezekano wa mshambulizi kutawala mfumo ulioathirika.
Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Google Chrome na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu.
Bofya hapa kwa taarifa Zaidi.