Ili kuboresha haiba ya usalama wa mtandao Tanzania, TZ-CERT, pamoja na majukumu mengine inatoa viwango vya usalama, miongozo na utendaji bora kuhakikisha asasi zinaweka salama mifumo na miundombinu ya mtandao.
Tazama Mwongozo:
TZ-CERT/GL/2015/01 juu ya Uhuishaji Programu Tumizi