Zaidi ya tovuti za biashara-mtandao (eCommerce) 5,000 zinazoendeshwa na WordPress zimefichuliwa kutokana na upungufu wakati wa kujiunga. Watafiti wa High-Tech Bridge wamebainisha udhaifu kwenye TheCartPress, program tumizi ya kujiunga na biashara ya kielektroni iliyowekwa kwenye tovuti zaidi ya 5,000 za WordPress. Kwa mujibu wa wataalam, kujiunga kunakabiliwa na kasoro za kiusalama zinazoweza kutumiwa na wavamizi kuingiza taarifa zinazoangaliwa na wengine (XSS), utekelezaji kwa nguvu wa msimbo wa PHP na utoaji nje wa data nyeti.
A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Check Also
Taarifa Kwa Umma
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu …